Home » » WILAYA YA TANDAHIMBA YAADHIMISHA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA KWA KUFANYA USAFI.

WILAYA YA TANDAHIMBA YAADHIMISHA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA KWA KUFANYA USAFI.

Julai 25, 2024

Viongozi na Wananchi Wilaya ya Tandahimba  wameadhimisha Kumbukumbu ya Mashujaa kwa kufanya Usafi katika Eneo la Forodhani.

Akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Afisa Utumishi Rafael Mputa amesema Maadhimisho hayo ni Kwa ajili ya kuwakumbuka Mashujaa waliopigana vita mbalimbali na kuleta ukombozi wa Taifa .

Maadhimisho haya Kitaifa yanafanyika Mkoani Dodoma ambapo Mgeni Rasmi ni  Mhe.Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.



0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Mtwara yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa