JOYCE NORMANI HASSAN (44) mkazi wa Masasi Mtwara nambari yake ya
ushiriki ni MS 16 ni mkulima na ana ekari 2 za mahindi, korosho na mbogamboga.
ANADHANI
YEYE NI MFANO WA KUIGWA: Kwa sababu anaendesha kilimo cha kitaalamu na pia
amejiunga na vikundi mbali mbali. "Nina shamba lenye ukubwa wa ekari 6.
Kwa mwaka ninavuna mazao gunia 27"
MAISHA PLUS/MAMA SHUJAA WA CHAKULA
0 comments:
Post a Comment