Home » » Nyumba za PSPF zawateka wabunge, wataka zijengwe nyingi kukidhi mahitaji

Nyumba za PSPF zawateka wabunge, wataka zijengwe nyingi kukidhi mahitaji

 Kaimu Mkurugenzi wa mfuko wa pensheni wa PSPF, Adam Mayingu akitoa taarifa ya miradi ya ujenzi ya mfuko huo kwa Kamati ya Uchumi na Fedha ya Bunge wakati kamati hiyo ilipotembelea nyumba za kuuzia wanachama zilizoko Buyuni nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.


 Makamu mwenyekiti wa kamati ya Bunge uchumi na fedha, Habib Mnyaa (MB) Kanyageni, akitoa maelekezo kwa menejimenti ya PSPF baada ya kutembelea nyumba za shirika hilo.

 Moja ya nyumba zinazouzwa kwa bei nafuu


 Makamu mwenyekiti wa kamati ya Bunge fedha na uchumi, Habib Mnyaa (MB) Kanyageni (katikati), Mwenyekiti wa bodi ya PSPF, ambaye pia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Goerge Yambesi (wa nne kutoka kushoto), Kaimu Mkurugenzi wa mfuko wa pensheni wa PSPF, Adam Mayingu (wa tano kutoka kulia), wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa kamati hiyo na menejiment ya PSPF


 Makamu mwenyekiti wa kamati ya uchumi na fedha ya bunge, Habib Mnyaa (MB) Kanyageni (kulia) akiteta jambo na Mwenyekiti wa bodi ya PSPF, ambaye pia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Goerge Yambesi.
 Mhandisi wa PSPF, Temba Msemo
 Naibu Kamishina Mkuu wa Kitendo cha Maendeleo na Logistiki Jeshi la Polisi DCP Sospeter Kondela akitoa maelezo ya mradi wa nyumba za makazi ya polisi Kilwa kwa kamati ya uchumi na fedha ya bunge na menejiment ya PSPF.

 Ujenzi wa ghorofa la PSPF litakalokuwa na ghorofa 32.

 Ghorofa
Kaimu Mkurugenzi wa PSPF Adam Mayingu akionyesha jengo la ghorofa 'PSPF Commercial Complex' litakavyokuwa baada ya ujenzi kukamilika, kulia ni Meneja wa Alhatimy Design, Ghazi Al Shamali.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Mtwara yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa