Mkuu
wa Wilaya ya Newala mkoani Mtwara, Christopher Magala (kulia kwa
Waziri) akimpa maelezo juu ya Mashine za kusukuma maji zilizopo katika
chanzo cha maji cha Mitema - Mkunya , Waziri wa Maji, Prof. Jumanne
Maghembe wakati alipofanya ziara ya kukagua miradi ya maji Wilayani humo
hivi karibuni.
Waziri akitembezwa katika matanki ya kuhifadhia maji.
Ziara iliendelea
Akiagana na viongozi mbalimbali wilayani baada ya kumaliza ziara.
CHANZO FATHER KIDEVU BLOG
0 comments:
Post a Comment