Home » » Magufuli katika ubora wake Mkoani Mtwara jioni ya leo

Magufuli katika ubora wake Mkoani Mtwara jioni ya leo

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.


_MG_1295Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi
Dkt John Pombe Magufuli,akiwahutubia wananchi wa mji wa Mtwara
waliojitokeza kwa wingi kumsikiliza kwenye mkutano wa kampeni
unaoendelea jioni hii katika uwanja wa Mashujaa.
_MG_1256Wakazi wa mji wa Mtwara wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa
hadhara wa kampeni za CCM,unaofanyika jioni ya leo kwenye uwanja wa
CCM,wakimsikiliza mgombea Urais wa chama hicho Dkt John Pombe Magufuli.
IMG_0122Picha ya juu na chini wafuasi wa CCM, wakiwa wamejipamba kwa nakshi ya rangi za chama hicho katika kutia hamasa shughuli hizo za kampeni wakati wa Dk. Magufuli alipokua akihutubia katika mkutano wa kampeni..
03#TeamMagufuliHapaKaziTu!!
_MG_1249
Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akijiachia jukwaani pamoja
na wasanii wa kundi la Yamoto Band kwenye uwanja wa Mashujaa mkoani
Mtwara,ambapo Dkt Magufuli anatarajia wakuwahutubia wananchi hao
waliofurika kwa wingi.
_MG_1215Mgombea Ubunge wa jimbo la Mtwara mjini,Murji Asnein Mohamed akiwasalimia
maelfu ya wananchi wa mji wa Mtwara waliofurika kwenye uwanja wa
Mashujaa kwenye mkutano wa kampeni za CCM,jioni ya leo ambapo Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM,Dkt John
Pombe Magufuli anatarajia kuwahutubia wananchi hao

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Mtwara yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa