Mtoto
Lulu Charles akimpa shada la maua Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mama Janeth Magufuli alipowasili Mkoani Mtwara.
Mke
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli
akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Serikali waliofika kumpokea
alipowasili Masasi Mkoani Mtwara.
Mkuu
wa Mkoa wa Mtwara Mh. Halima Dendegu akimueleza Mke wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli utekelezaji wa mambo
mbalimbali ya maendeleo katika mkoa wake.
PICHA NA HASSAN SILAYO-MAELEZO
0 comments:
Post a Comment