Mkurugenzi
Mtendaji wa Makampuni ya Dangote, Alhaj Aliko Dangote (aliyesimama
katikati), akizungumza na maofisa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Wizara ya
Mambo y Nje, Viwanda na Biashara na Masoko, Kituo cha Uwekezaji Tanznia
(TIC) na taasisi mbalimbali za serikali, walipokutana na Mtendaji huyo
mkoani Mtwara jana kujadili kuhusu uzinduzi wa kiwanda hicho kikubwa cha
simenti.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Makampuni ya Dangote, Alhaj Aliko Dangote (kushoto),
akiwasikiliza kwa makini maofisa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Wizara ya
Mambo ya Nje, Viwanda, Biashara na Masoko na Kituo cha Uwekezaji Tanzani
(TIC), waliotembelea kiwanda cha simenti cha Dangote kinachojengwa
mkoani Mtwara jana kwa ajili ya maandalizi ya kuzindua rasmi Oktoba
mwaka huu.
Mwekezaji
kutoka Nigeria, Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya Dangote, Alhaj Aliko
Dangote (kushoto), akiwasikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Dangote Makao
Makuu, Bw. Sada Ladan Baki (kulia), Mwakilishi Mkazi wa Makampuni hayo,
Bi. Esther Baruti na Kaimu Balozi wa Nigeria, Bw. S. Umaru, alipokutana
nao kwenye mradi mkubwa wa ujenzi wa kiwanda cha simenti mkoani Mtwara
jana.
Bendera zikipepea kwenye kiwanda hicho kikubwa kuliko vyote Afrika Mashariki na Kati
Sehemu ya mitambo kiwanda hicho ambayho baadhi ujenzi wake umekamilika
0 comments:
Post a Comment