Home » » TRA YAWATOA HOFU WAFANYABIASHARA

TRA YAWATOA HOFU WAFANYABIASHARA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imewatoa hofu wafanyabiashara kutumia mashine za EFD kwani kodi inayokatwa ni asilimia 30 ya faida baada ya kutoa gharama zote za uendeshaji na manunuzi.
Kauli hiyo ilitolewa jijini hapa mwishoni mwa wiki na Ofisa Mwandamizi Mkuu wa Elimu wa TRA, Hamis Lepenza, katika mkutano na waandishi wa habari.
Lepenza alisema wengi wao wamekuwa na malalamiko kuwa hawajasoma, hivyo  kuwa ngumu kwao kuzitumia mashine hizo, jambo alilodai si la kweli bali ni janja ya wafanyabiashara kwani wanahofia mashine hizo zitasababisha kuonyesha mauzo kuongezeka na kodi ya kulipa kuwa
 Chanzo;Tanzania Daima

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Mtwara yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa